NAIBU WAZIRI SANGU: WAZAZI TIMIZENI WAJIBU WENU KATIKA MALEZI YA WATOTO
Na.Lusungu S. Helela- Kibakwe Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu amewataka Wazazi kutimiza jukumu la malezi ya Watoto badala ya kuwaachia walimu pekee yao kutokana na wimbi kubwa la mmonyoko wa maadili linaloikumba jamii. Amesema malezi ya wazazi kwa watoto ni muhimu sana hususan katika […]