TUMELETEWA WATAALAMU ILI TUPATE PARACHICHI KWA UHAKIKA-MKULIMA MBEYA
Na Mwandishi Wetu Mkulima Silvester Thomas Kayombo kutoka Mbeya anayejihusisha na Kilimo cha parachichi aishukuru wizara ya Kilimo kwa kulifanya zao la parachichi kuwa zao la kimkakati na kuwapelekea wataalamu (maafisa ugani) wanaowasaidia kupata tunda hilo kwa uhakika. Kayombo ameeleza namna serikali kupitia Wizara ya Kilimo inavyowasaidia kufanya kilimo cha kisasa kwa kuwapelekea wataalamu pamoja […]