WASIRA MGOMBEA URAIS ANATOSHA, HAKUNA HAJA YA KUCHAPISHA FOMU YA MGOMBEA URAIS
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Mjumbe wa Halmashauri Kuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Steven Wassira amesema hakuna haja yakuchapisha fomu ya mgombea uraisi ndani ya chama hicho kwakuwa tayari wana mgombea ambaye anatosha. Wassira alitoa kauli hiyo wakati anahojiwa kwenye moja ya kipindi cha luninga alipoulizwa kuhusu mchakato wakumpata mgombea urais ndani ya […]