WASIRA: CCM HAINA CHUKI, VISASI BALI INAAMINI KATIKA MARIDHIANO
Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hakina chuki wala kısası na mtu bali kinaamini kutekeleza sera ya maridhiano. Wasira ametoa kauli hiyo jana akiwa katika mkutano wa hadhara alipokuwa akizungumza na wana CCM wilayani Urambo mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa […]