KITAIFA
July 04, 2023
406 views 2 mins 0

STEVE NYERERE NA YOGE KUSHIRIKIANA KUWASAIDIA WATOTO MADAFTARI

Msanii Steve Nyerere Kwa kushirikiana na shirika la yoge wameanda mpango wa kuwasaidia watoto wasioweza kujikimu Katika vifaa vya masomo Yao na wazazi ambao wasioweza kufanikisha Maendeleo ya watoto wao. Yoge imeandaa mpango huo Kwa kufanikisha watoto wanasoma vizuri na kupata vitendea kazi kama madaftar na kuazisha kampeni ya mama ongea na mwanao “Kuna watoto […]