ZOEZI LA SENSA YA WANYAMAPORI LAZINDULIWA RASMI LEO MKOANI MOROGORO
Na Happiness Shayo-Morogoro Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amezindua rasmi zoezi la Sensa ya Wanyamapori lengo ikiwa ni kuhesabu Wanyamapori nchi nzima kwa uhifadhi wa rasilimali za wanyamapori, misitu ma kuendeleza utalii. Uzinduzi huo utakaogharimu takribani shilingi milioni 560 katika mfumo wa Ikolojia ya Nyerere – Selous – Mikumi yenye […]