KITAIFA
August 04, 2023
364 views 2 mins 0

MAWAKILI WAUNGA MKONO UWEKEZAJI WA MKATABA WA BANDARI

Wanasheria wazalendo wamesema Moja ya sera ni uwekezaji Katika sekta ya kiuchumi na kijamii Katika kutekeleza sera za uwekezaji serikalini pia Ina mamlaka ya kuingia makubaliano na mwekezaji wa ndani au nje ya nchi kuendeleza na kuboresha rasilimali tulizonazo kwa manufaa ya jamii na taifa kwa ujumla. Wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es […]