SIMBACHAWENE:AWATAKA WANANCHI WASHIRIKI KATIKA MIRADI YA MAENDELEO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene, amewataka wananchi kuibua miradi ya kimkakati katika maeneo yao ili Serikali iweze kusaidia katika ukamilishaji wa miradi hiyo. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi kwa nyakati tofauti katika Kata ya Luhundwa, Lufu, Wangi na Wotta, Wilayani Mpwapwa, Mkoani […]