WANAFUNZI VYUO VIKUU WAPONGEZA BAJETI YA ELIMU KUONGEZA MANUFAIKA WA MIKOPO
JIJINI DAR ES SALAAM Wanafunzi wa elimu ya juu wameipongeza Serikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mabadiliko makubwa waliyofanya kwenye sekta ya elimu huku wakitoa wito kwa wanafunzi wanaopata ufadhili Samia Skolashipu kusoma kwa bidii ili waweze kusaidia jamii katika siku zijazo. Rai hiyo imetolewa na mwananfunzi kutoka […]