WAMACHINGA,BODABODA WAPINGA KUJIHUSISHA NA MAANDAMANO YA CHADEMA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Wamachinga na waendesha bodaboda na bajaji wametakiwa kuacha kujihusisha na maandamano bali waendelee kudumisha umoja na kutetea amani ya nchi. Wito huo umetolewa leo Aprili 21,2025 na viongozi wa wafanyabiashara hao wakati wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Wamachinga wa […]