UMOJA WA WAMACHINGA WAZINDUA KAMPENI YA MPANGO KAZI YA ‘MAMA TUVUSHE 2025’
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Jana oktoba 9,2024 Umoja wa Shirikisho la Wamachinga Tanzania SHIUMA umezindua mpango kazi (Operesheni ) ya kampeni ya “Mama Tuvushe 2025 “ Wamezindua mpango kazi huo (Operesheni )utakaofanyakazi nchi nzima kuzunguka kutokana na maadhimio ya kampeni hiyo,Yote hayo yamejiri wakati wa kikao chao walichokifanya leo mkoani Iringa mbele ya Wamachinga waliojitokeza […]