WATU WENYE UALBINO TEMBEENI KIFUA MBELE-DKT. BITEKO
๐ *Asema Serikali inawathani kama ilivyo kwa watu wengine;* ๐ *Aipongeza Manara TV kwa msaada wa Vifaa Kinga kwa Wenye Ualbino;* ๐ *Wenye Ualbino wampongeza Rais Samia kuchaguliwa mgombea Urais 2025.* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza watu wenye ualbino nchini kutembea kifua mbele na wasiojione wanyonge kutokana na […]