TLS.YATAKIWA KUSIMAMIA HAKI NA AMANI KUCHOCHEA MAENDELEO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia kufungua Mkutano Mkuu 2024* Awataka Mawakili kuchaguana kwa haki* Wananchi zaidi ya 7358 wamefikiwa na TLS kupata huduma* TLS wampongeza Rais Samia kuundwa kwa Tume ya Haki Jinai* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na […]