WATAALAMU KITENGO CHA BANDARI WMA WAAHIDI WELEDI ZAIDI KAZINI
Na Pendo Magambo – WMA* Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo (WMA) Kitengo cha Bandari, wamesema wataendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kufikia azma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuwa na Tanzania ya Viwanda. Akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi, Meneja anayeongoza Kitengo hicho, Alfred Shungu ameyasema hayo ofisini kwake alipokuwa akizungumza na wanahabari, […]