SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE YACHOCHEA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA MATIBABU NCHINI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kupitishwa kwa *Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote* kutaongeza mchango wa sekta ya bima katika kuwezesha upatikanaji wa huduma bora za matibabu kupitia mfumo wa bima ya afya. Hayo yalibainishwa wakati Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, alipozindua rasmi Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya […]