RC SERUKAMBA EPUKENI KURIPOTI HABARI ZENYE TAHARUKI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA IRINGA MKUU wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba amewataka Waandishi wa Habari nchini kuripoti habari sahihi ilikuepuka taharuki ikiwemo suala la kuripoti habari za dawa na vifaa tiba ambalo lipo chini ya Mamlaka ya dawa na vifaa tiba nchini (TMDA) Akifungua kikao kazi hiko, mapema leo Mei 16, 2024 kilichowakutanisha […]