BIASHARA
September 19, 2023
242 views 3 mins 0

DRC KONGO KUJIFUNZA UONGEZAJI THAMANI YA MADINI TANZANIA

Afisa Biashara kutoka Ubalozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Nchini Bw. Marcel Kasongo Yampanya amewasilisha nia ya Serikali ya Kongo kuleta Vijana wengi nchini Tanzania kujifunza Uongezaji Thamani wa Madini ya Vito katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) cha jijini Arusha. Ameyabainisha hayo wakati wa mazungumzo yake na viongozi wa kituo cha TGC baada […]

BIASHARA
September 13, 2023
235 views 2 mins 0

KAMPUNI 5 ZATIA SAINI MIKATABA YA UCHIMBAJI WA MAKAA YA MAWE KWA WAWEKEZAJI WAZAWA

Kampuni ishirini na tano (25) zilizopewa nyaraka za zabuni Kupitia mfumo wa ununuzi serikalini (TANePS) ambazo kampuni 17 zilifanikiwa kuwasilisha nyaraka za zabuni Jumla ya kampuni tano zimetia saini makubaliano ya uchimbaji wa makaa ya mawe Katika mradi wa mchuchuma ambayo mikataba hiyo itadumu Kwa Muda wa miaka mitano Akizungumza na waandishi wa habari jijini […]

BIASHARA
August 26, 2023
277 views 3 mins 0

WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI LINDI WAIANGUKIA SERIKALI JUU YA UMEME

WACHIMBAJI wa Madini mkoani Lindi wameiomba Serikali kuongeza nguvu ya umeme hasa katika maeneo ya migodi Ili kuongeza kasi ya utendaji kazi katika uzalishaji wa madini mkoani humo. Akizungumza na waandishi wa Habari Moja ya Kampuni ya wachimbaji wa Madini mkoani humo amesema licha ya changamoto hiyo pia Kuna changamoto ya barabara kuelekea katika migodini […]