KITAIFA
November 15, 2023
174 views 6 mins 0

SANGU AIPA KONGOLE SUMAJKT KUANZISHA MIRADI

MBUNGE wa Jimbo la Kwela na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge na uwekezaji wa mitaji ya umma ,Deus Sangu Ameongoza kamati hiyo kwa kufanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali inayoendeshwa na Kampuni ya SUMAJKT ya uzalishaji Mali. Amesema kipekee wamepata fursa ya kutembelea sehemu kuu mbili kwanza wametembelea Kampuni tanzu ya uzalishaji Kwa […]