KITAIFA
December 24, 2023
221 views 4 mins 0

WAATHIRIKA WA HANANG WAZIDI KUPATA NEEMA YA MISAADA YAZIDI KUFURIKA

Na Mwandishi wetu, Hanang Waathirka wa maafa yaliyotokea wilayani Hanang mkoa wa Manyara, Desemba 3, mwaka huu, wameendelea kunuifaika na misaada mbalimbali ya kibinadamu iliyotolewa na wadau pamoja na serikali, baada ya serikali kuongeza kiwango cha ugawaji wa misaada kwa kaya kutokana na ongezeko la misaada inayoendelea kupokelewa kutoka kwa wadau. Awali, serikali ilikuwa ikiwagawia […]

KITAIFA
December 05, 2023
142 views 2 mins 0

CCM YAWASHIKA MKONO WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANG

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Ndugu Anamringi Macha, kimekabidhi msaada wa vitu vyenye thamani ya Tsh. 10 milioni, โ€˜kuwashika mkonoโ€™ waathirika wa maafa yaliyosababishwa na mafuriko ya maji na matope, huko wilayani Hanang. Akikabidhi msaada huo kwa waathirika hao mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa […]

KITAIFA
December 04, 2023
119 views 49 secs 0

KINANA:AWAHAKIKISHIA WANANCHI HANANG KUWA MAELEKEZO YA RAIS DKT.SAMIA YATATEKELEZWA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndg. Abdulrahman Kinana, amewahakikishia wananchi Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara hususani waliokumbwa na janga la mafuriko, kwamba maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, yatatekelezwa kikamilifu. Cde. Kinana ameyasema hayo leo tarehe 4 Desemba, […]