Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi
Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waraka mzito wa ushauri umetolewa na wagombea wa ubunge wa mwaka 2020 na watia nia wa mwaka 2025, wakimlenga moja kwa moja Katibu Mkuu wa CHADEMA huku wakionyesha tofauti kubwa ya kifikra na kimkakati na […]