DKT BITEKO FEDHA ZA NDANI ZIWE TEGEMEO KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI
Asema Serikali inaendelea na juhudi za kutokomeza UKIMWI Nchini* Morogoro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa kushirikiana na Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) kuhakikisha kuwa wanatenga fedha za kutosha kwa ajili ya mapambano dhidi ya UKIMWI nchini badala […]