VIWANJA VYA NDEGE VITAKAVYOKAMILIKA MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA
DODOMA Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu Serikali imefanikiwa kukamilisha viwanja vya Ndege 5 ambavyo ni Kiwanja Cha Ndege cha Geita, Mwanza, Mtwara, Songwe na Songea. Waziri Bashungwa ameeleza hayo jijini Dodoma tarehe 5 Aprili, 2024 katika hafla ya kuangazia mafanikio ya miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu […]