DKT BITEKO VIONGOZI WA DINI MSICHOKE KUWAUNGANIAHA WATU
Atoa wito kujenga Taifa lenye Umoja, Upendo na Mshikamano Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Mhe. Dkt Doto Biteko amewataka viongozi wa dini kutochoka kuunganisha watu ili kujenga Taifa lenye Umoja, Amani na Mshikamano Mhe. Dkt Biteko ameyasema hayo kwenye Mkutano wa Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste ambao ulikuwa na lengo […]