VIONGOZI WA DINI WAENDELEA KUKEMEA VITENDO VYA USHOGA
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Wakati sakata la ushoga likiendelea kutawala mijadala kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wameendelea kukemea na kutoa maonyo juu ya vitendo hivyo. Wakizungumza na waandishi wa habari mapema leo, viongozi hao wakiwemo maaskofu, wachungaji na ma-sheikh pamoja na wakufunzi wa vyuo vya […]