UWANJA WA MPIRA WA KIMATAIFA WA DODOMA KUBEBA WATAZAMAJI ZAIDI YA ELFU 32
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Palamagamba Kabudi, leo Februari 13, 2025, ameshuhudia utiaji saini Mkataba wa kuanza rasmi Ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu utakaokuwa na uwezo wa kuketisha watazamaji 32,000 kwa mara moja katika eneo la Nzuguni Jijini Dodoma. Akizungumza na hadhara iliyojitokeza kushuhudia tukio […]