KITAIFA
March 16, 2025
19 views 4 mins 0

SERIKALI MBIONI KUKAMILISHA MFUMO WA USAJILI NA UTOAJI WA VITAMBULISHO VYA KIDIGITALI KWA WAANDISHI WA HABARI (JARS)

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Idara ya Habari MAELEZO kwa kushirikiana na Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA) inaendelea na kazi ya kukamilisha ujenzi wa mfumo wa Usajili na utoaji wa vitambulisho vya kidigitali kwa Waandishi wa Habari nchi nzima – JOURNALISTS ACCREDITATION & REGISTRATION SYSTEM (JARS). Hayo yameelezwa […]