KITAIFA
November 26, 2023
193 views 2 mins 0

LIPUMBA ACHAFUKWA,HATUITAJI KURUDI KATIKA SIASA ZA MAPAMBANO

Chama Cha Wananchi CUF kimelaani vikali Kwa kuvunjiwa mkutano wao ambao ulikuwa unafanyika Katika viwanja vya buguruni sheli na polisi kuwakamata viongozi 7 bila ya kuwa na kibali maarum Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam mwenyekiti wa chama Cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba Amesema amehuzunishwa na kitendo hicho Kwa kukamatwa Kwa […]

KITAIFA
August 02, 2023
208 views 24 secs 0

SIKUNJEMA:MTU ASIEELEWA SWALA LA BANDARI BASI HATA ELEWA TENA

Mwenyekiti wa ccm wilaya ya kigamboni Sikunjema Yahaya Shabani amesema wanakigamboni wanaenda kuwa mabalozi Katika chama chetu Cha mapinduzi Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mwenyekiti wa ccm wilaya ya kigamboni sikunjema yahaya Shabani kila mtanzania aliesikiliza hutuba ya viongozi mbalimbali atakuwa ameelewa jambo zima la bandari “mtu asieelewa basi atakuwa haelewi […]

KITAIFA
July 30, 2023
236 views 3 mins 0

CHONGOLO:KINACHOFANYWA NA SERIKALI SUALA LA BANDARI NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI CCM

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia maelfu ya wana CCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es Salaam leo Julai 29,2023. …………………………… Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinachofanywa na Serikali katika suala la bandari ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya […]

KITAIFA
July 28, 2023
129 views 2 mins 0

SERIKALI YA RAIS SAMIA IMEENDELEA KUTENGENEZA MAZINGIRA MAZURI KILA MWANANCHI APATE MAENDELEO

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana, amesema kuwa jukumu la kujiendeleza ni la mtu binafsi na kwamba hakuna anaeweza kumwendeleza mtu mwingine. Amesema hata serikali haiendelezi watu bali hujiendeleza kutengeneza mazingira mazuri kwa wananchi kujiendeleza kupitia fursa mbalimbali. Kinana ameyasema hayo leo Julai 28, 2023 wakati akizingumza na waganga wa tiba asiili […]

KITAIFA
July 19, 2023
135 views 2 mins 0

CHONGOLO: SERIKALI KURUDI NYUMA NI MWIKO

Kufuatia maneno yanayoendelea kuhusiana na uwekezaji wa uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam imeelezwa kuwa maoni ya wananchi yatakusanywa, yale yatakayoonekana yana tija yataingizwa kwenye mjadala wa mkataba ukaoingiwa kwenye uendeshaji huo wa bandari, lakini suala la Serikali kurudi nyuma ni mwiko, bali mambo yatakuwa ni mbele kwa mbele. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu […]