KITAIFA
December 14, 2024
77 views 3 mins 0

GAVU AJIVUNIA UTEKELEZAJI WA ILANI JIMBO LA CHWAKA,AMPONGEZA RAIS MWINYI.

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Akabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya mamilioni ya fedha katika Jimbo la Chwaka* MWAKILISHI wa Jimbo la Chwaka visiwani Zanzibar ambaye pia ni Katibu wa Halmashauri Kuu((NEC) Oganaizesheni Issa Gavu amesema Serikali ya Awamu ya Nane chini ya Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi imefanya maendeleo makubwa kupitia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi […]

KITAIFA
December 09, 2024
109 views 34 secs 0

CDE KAWAIDA AMFARIJI NDUGU JAMES KWA KUFIWA NA BABA AKE

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, Cde. Mohammed Ali Kawaida amefika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza kumfariji Ndugu Kheri James ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini aliyefiwa na baba yake mzazi Desemba 03 mwaka huu. Mwenyekiti Kawaida akiwa nyumbani hapo amesaini kitabu cha maombolezo na kuhani msiba […]

KITAIFA
July 11, 2024
233 views 3 mins 0

BALOZI NCHIMBI AONYA VIONGOZI KUTOA KAULI ZA KIBAGUZI

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuepuka kutoa kauli au kufanya vitendo vyenye taswira inayoweza kutafsiriwa kuwa baadhi yao wanashabikia ukandamizaji wa haki za wananchi. Katibu Mkuu Balozi Dkt. Nchimbi amesisitiza kuwa maneno na vitendo vya […]