KAIMU KATIBU MKUU DAUDI AWAFUNDA WAJUMBE WA KAMATI ZA USHAURI ZA AJIRA ZA RAIA WA KIGENI KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Na. Lusungu Helela – Dodoma. Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi amewatakaย Wajumbe wa Kamati za Ushauri za Ajira za Raia wa Kigeni katika Utumishi wa Umma kuhakikisha wanalinda taswira ya nchi kimataifa kwa kuyafanyia kazi na kuyawasilisha maombi hayo ya ajira za raia wa […]