KITAIFA
September 11, 2024
36 views 52 secs 0

KONGAMANO LA UTENGAMAO WA AKILI KUFANYIKA JNICC

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Taasisi isiyo ya kiserikali ya Rihab Health imeandaa Kongamano la pili la Utengamao wa akili (Rehabilitationย  summit) linalokusudia kuendeleza ajenda ya utengamao wa Afya ya akili nchini lenye kauli mbiu ya “kuendeleza ajenda ya utengamao,kuimarisha mifumo ya Afya nchini. Mkurugenzi mtendaji wa shirika hilo Remla Shirima amezungumza na […]