KITAIFA
July 28, 2023
258 views 4 mins 0

WANANDOA MALIZENI MIGOGORO KUKOMESHA WIMBI LA WATOTO MITAANI

AFISA ustawi wa jamii manispaa ya Ubungo jijini Dar Naamini Nguve, amewataka wanandoa nchini wajitahidi kumaliza migogoro yao ili kupunguza wimbi la watoto wa mitaani. Nguve amesema kuwa katika kituo cha mabasi maarufu Magufuli kilichopo manispaa ya Ubungo jijini hapa wamekuwa wakipokea makundi ya watoto chini ya miaka 18, vijana, wazee pamoja na walemavu kutoka […]