KITAIFA
December 13, 2023
416 views 2 mins 0

WAZIRI MASAUNI:SHERIA KUREKEBISHWA KUDHIBITI AJALI

DAR ES SALAAM: Na Madina Mohammed Wizara ya mambo ya ndani ya nchi na Baraza la usalama Barabarani la Taifa Kwa kushirikiana na jeshi la polisi wameandaa operesheni maarum ya kudhibiti ajali za barabarani Katika maeneo yote ya nchi Amesema Baraza litaendelea kusimamia Kwa nguvu madereva Ili kuweza kupunguza ajali barabarani Katika maeneo yote ya […]