ENEO LA URAFIKI TEXTILE LANUNULIWA NA SHIRIKA LA NYUMBA NHC
Na Mwandishi wetu Wamachinga Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki mapema mwaka huu, ikiwemo mali zote zilizokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania – China Friendship Textile CO LTD). Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa ameyasema hayo leo wakati wa ziara […]