KITAIFA
March 06, 2025
27 views 6 mins 0

MPANGO: VIONGOZI WA TAASISI NA MASHIRIKA WANAWAJIBIKA KUCHANGIA JUHUDI ZA SERIKALI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Viongozi wa Taasisi na Mashirika wanawajibika kuchangia juhudi za Serikali katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa kuandaa na kutekeleza mikakati itakayosaidia kupunguza uzalishaji wa gesijoto na kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi. Makamu wa […]