KITAIFA
October 31, 2024
24 views 2 mins 0

REA YATOA KIPAUMBELE UJENZI MIRADI YA NISHATI JADIDIFU

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Vijiji 32 vyenye wateja zaidi ya 8,000 vimeunganishiwa umeme REA imeuwezesha mradi wa Mwenga Hydro shilingi bilioni 16.6 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye ujenzi wa miradi ya nishati jadidifu nchini ili kusaidia utunzaji wa mazingira, kuzalisha umeme wa uhakika na kutoa ajira kupitia miradi hiyo. Hayo yamebainishwa leo […]

KITAIFA
October 23, 2024
49 views 3 mins 0

REA ILIVYOBEBA AJENDA  YA DKT SAMIA 

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Inatekeleza mkakati wa Nishati safi ya kupikia kwa vtendo, mitungi ya gesi (LPG) 452,445  kusambazwa kwa bi ya ruzuku -DAR ES SALAAM KATIKA kuhakikisha asilimia 80 ya Wananchi wanatumia Nishati Safi za Kupikia ifikapo Mwaka 2034, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea na jitihada mbalimbali za uelimishaji, uhamasishaji na usambazaji wa […]

KITAIFA
October 10, 2024
89 views 2 mins 0

RAIS SAMIA AMETOA RUZUKU ASILIMIA 50 KWA MITUNGI YA GESI INAYOSAMBAZWA NA REA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA REA yapongezwa kwa elimu ya nishati safi ya kupikia Yaendelea kugawa majiko banifu na mitungi ya gesi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ruzuku ya asilimia 50 ya bei kwa mitungi ya gesi inayosambazwa nchini na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Hayo yamebainishwa leo […]

KITAIFA
March 26, 2024
207 views 3 mins 0

REA YAMHESHIMISHA RAIS SAMIA CHEKELEI KOROGWE

Na Veronica Simba – REA, Korogwe Walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chekelei iliyopo kijiji cha Madumu, wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha wanapata huduma zote za msingi ikiwemo umeme na vitendea kazi mbalimbali, hali ambayo wameeleza itasaidia kuboresha taaluma shuleni hapo. Wametoa shukrani hizo leo Machi 26, […]

KITAIFA
February 20, 2024
161 views 3 mins 0

TUNATEGEMEA MAFANIKIO MAKUBWA REA-BODI MPYA

Na Veronica Simba – REA Bodi ya Nishati Vijijini (REB) inayosimamia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imesema inategemea mafanikio makubwa katika kuiwezesha Wakala hiyo kutimiza azma yake ya kuwafikishia wananchi walioko vijijini nishati bora za umeme, mafuta na gesi. Hayo yamebainishwa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Balozi, Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu […]

KITAIFA
November 24, 2023
255 views 2 mins 0

WAZIRI MAJALIWA:KUZINDUA UMEME WA REA VIJIJINI NA VITONGOJI SONGWE

Waziri mkuu kassim majaliwa Leo amezindua mradi wa umeme wa REA vijijini na vitongoji Katika mkoa wa songwe Waziri ameyasema hayo wakati akiwa Katika ziara yake ambayo inayoendelea Katika mkoa wa songwe na ameyazungumza hayo akiwa Katika Kijiji Cha Udugura Amesema jukumu Moja sisi wasaidizi Mhe.Rais Samia ametupa ni kuhakikisha kila mtanzania anaishi kwenye nyumba […]