DKT BITEKO MIRADI YA UMEME WA JOTOARDHI IENDELEZWE
*๐Ataka TGDC kuchagiza mafanikio* *๐Akagua miradi ya Jotoardhi Kiejo-Mbaka na Ngozi* *๐Asema Dkt. Samia anataka huduma bora kwa wananchi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kwa dhati kuendeleza vyanzo vya umeme wa Jotoardhi ili kuhakikishaย nchi inazalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya wananchi wake. Amesema chanzo hicho […]