KITAIFA
November 01, 2023
104 views 2 mins 0

SERIKALI:UZALENDO KIGEZO KUSIMAMIA DAWATI LA KUPINGA UKATILI VYUONI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewataka Wakuu wa vyuo Vya Elimu ya Juu na Kati kuteua Waratibu Dawati la Jinsia waadilifu, katika kutatua changamoto za ukatili wa kijinsia vyuoni. Mpanju amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya namna bora ya uanzishaji wa madawati ya jinsia […]