KITAIFA
April 25, 2025
38 views 2 mins 0

RAIS MWINYI:MIAKA 61 YA MUUNGANO TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA YA MAENDELEO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imepiga hatua kubwa za Maendeleo ndani ya Miaka 61 ya Muungano Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii na kuwa kielelezo  cha Mafanikio ya Muungano Barani Afrika. Rais Dkt.Mwinyi amesema hayo alipoweka jiwe la Msingi la Ujenzi […]