KITAIFA
November 30, 2023
123 views 30 secs 0

TANZANIA NA UGANDA ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUSAFIRISHA SHEHENA KUPITIA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza. Makubaliano hayo yameshainiwa kati ya Waziri a Uchukuzi wa Tanzania Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganza Edward Katumba, makubaliano hayo yamefanyika jijini Dar es Salaama “ […]

KITAIFA
September 07, 2023
215 views 2 mins 0

TANZANIA NA UGANDA WAZIDI KUIMALISHA MAHUSIANO SEKTA YA MIFUGO

Tanzania na Uganda inaendelea kuimarisha ushirikiano na mahusiano katika sekta ya mifugo kwa kusaini makubaliano ya udhibiti wa magonjwa ya wanyama yanayovuka mipaka na yanayo ambukiza binadam katika maeneo ya mipaka. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo Alhamis 07 September 2023 Waziri wa mifugo na uvuvi Abdallah Hamis Ulega Amesema Licha […]