ZIARA YA UWESO UFARANSA YAFANIKISHA MIRADI YA MAJI MWANZA, MOROGORO AWAMU YA 2 NA ZIWA TANGANYIKA
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso leo tarehe 14 Machi 2024 amefija Makao Makuu ya Shirika la Maendeleo Ufaransa AFD ambapo amekutana na kuwa na mazungumzo na Uongozi wa Shirika la Maendeleo Ufaransa AFD ukiongozwa na Marie-Hรฉlรจne Loison Naibu Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maendeleo Ufaransa AFD Mazungumzo hayo yamejikita katika uwekezaji na utekelezaji wa […]