KITAIFA
August 03, 2024
59 views 2 mins 0

WAKILI NKUBA: UCHAGUZI URAIS TLS UMEHUJUMIWA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Apinga matokeo mahakamani ALIYEKUWA urais wa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili Sweetbert Nkuba ametangaza kupinga matokeo mahakamani yaliyompa ushindi Wakili Boniface Mwabukusi huku akitaja sababu mbalimbali anazodai zimehujumu uchaguzi huo. Akizungumza jana jijini Dodoma, Wakili Nkuba alisema hakubaliani na matokeo hayo na anapingaย  matokeo yaliyotangazwa na Kamati ya uchaguzi ya […]