NAIBU WAZIRI SANGU APIGA KURA KIJIJINI KWAKE , AWAHIMIZA WANANCHI
Na Mwandishi Wetu-Rukwa Naibu Waziri, Menejimenti ya Utumishi wa Umma ma Utawala Bora Mhe.Deus Sanguย amesisitiza umuhimu wa Wananchi wa Jimbo la Kwela kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku akibainisha kuwa uchaguzi huu ni fursa kwa wananchi kupata viongozi wa karibu wanaojuaย changamoto zinazowakabiliย za moja kwa moja katika maeneo yao. Mhe.Sangu […]
MKUU WA MKOA CHALAMILA ATIMIZA HAKI YAKE KIKATIBA KUPIGA KURA CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA Novemba 27, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametimiza haki yake ya msingi ya Kikatiba baada ya kukamilisha zoezi la kupiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masaki Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam. […]
DKT MPANGO MUTAKAO CHAGULIWA TUMIENI VEMA NAFASI KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa viongozi watakaochaguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa kutumia vema nafasi hizo kuwaletea wananchi maendeleo. Makamu wa Rais ametoa wito huo mara baada ya kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Kihanga Kijiji […]
NIMEPIGA KURA; NIMETIMIZA HAKI YANGU YA KIKATIBA- MHE.KAPINGA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aungana na Wananchi kuchagua Viongozi Kitongoji cha Mheza* Ahimiza Watanzania kuendelea kujitokeza kupiga kura* Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga leo ameshiriki zoezi la kupigakura katika Kitongoji cha Mheza kijiji cha Mkumbi Halmashauri ya Mbinga Vijijini ili kuchagua viongozi wa eneo husika. Kapinga ameeleza kuwa, kwa kufanya hivyo ametimiza haki […]
WANANCHI WACHAGUA VIONGOZI SERIKALI ZA MITAA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DKT. Biteko apongeza Wananchi Kujitokeza kwa wingi* Awahimiza kujitokeza kuwachagua viongozi* Watanzania katika maeneo mbalimbali ya nchi wamejitokeza kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi wao ngazi ya Serikali za Mitaa. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametimiza haki yake ya Kikatiba katika Kata ya Bulangwa, […]