UBONGO KIDS WAADHIMISHA MIAKA 10
Ubongo Kids yasherehekea miaka kumi tangu kuanzishwa kwake ikiwa na mafanikio makubwa ya kuenea nchi 23 na kuzifikia familia milioni 32 kote duniani. Ubongo Kids ambayo imekuwa kinara hapa nchini kutokana na umahili wa kuandaa maudhui ya kuelimisha na kuburudisha kwa vipindi kwenye televisheni wamesherekea mafanikio hayo kwa kuzindua silizi mpya ya NUZO na NAMI […]