WAZIRI PINDI CHANA:APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA CHINA
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amepokea vifaa vya michezo kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Chen Mingjian ambavyo vitatumika katika Programu ya Michezo Mtaa kwa Mtaa pamoja na Samia Taifa Cup. Vifaa mbavyo Mhe. Chana amepokea ni pamoja na Mipira ya Kikapu 600, mipira ya Wavu […]