GRAND GALA DANCE:KUTIMUA KIVUMBI SIKU YA NANENANE MBEYA
Katika kuhakikisha Wakazi wa mkoa wa Mbeya wanapata burudani, Grand Gala Dance wameandaaa tamasha lakusheherekea siku ya mkesha wa Nane Nane jijini Mbeya. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mratibu wa tamasha hilo Mboni Masimba amesema tamasha hilo litawajumuisha bendi za muziki ikiwemo Twanga pepeta chini ya Ally choki pamoja na Malaika […]