TUZO ZA TMA 2024 KUFANYA MAGEUZI NCHINI TANZANIA KATIKA SEKTA YA MUZIKI
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Kamati ya Tuzo za Tanzania (TMA 2024) iliyopewa jukumu mahususi la kuandaa Matukio ya Tuzo za muziki Tanzania imetangaza rasmi uzinduzi wa Tuzo hizo ambapo mchakato wake utaanza hivi karibuni. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya TMA,Christine Mosha (Seven) Amesema Tuzo hizo za TMA ambazo zitajumuisha wasanii wote kuazia waimbaji,wachezaji […]