TUZO YA TAIFA YA UANDISHI BUNIFU KUTOLEWA APRIL 13 MAKAMU WA RAIS PHILIP MPANGO KUWA MGENI RASMI
HAFLA ya utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kwa mwaka 2025 inatarajiwa kufanyika Aprili 13 katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. Hayo yamebainishwa leo Aprili 7, 2025 na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es […]