DAR – KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MACHI 17 -23, 2025
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Wapiga Kura wapya zaidi ya Laki sita wanatarajiwa kuandikishwa na Tume. Mkoa wa Dar es Salaam unatajia kuanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa. Hayo yamesemwa leo Machi 5, 2025 na Mwenyekiti wa Tume Huru […]