DKT. BITEKO ATAKA WATAFITI, WABUNIFU NDANI YA NCHI WATAMBULIWE KULETA MAENDELEO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Azindua Kongamano la 9 Sayansi, Teknolojiana Ubunifu Asema Watafiti waendelezwe, wasivunjwe moyo Azindua Mfuko wa mikopo nafuu โSAMIA FUNDโ Norway Yaahidi kuendelea kufadhili utafiti wenye tijaย Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema umefika wakati kwa Serikali na taasisi na Mashirika kutambua, kuthamini na kutumia tafiti […]