Uncategorized
June 20, 2023
423 views 4 mins 0

Waziri mkuu: Serikali haitodharau maoni na ushauri WA watanzania kuhusu bandari

WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu ameyasema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya chuo cha International Evangelism Centre kilichoko Sakila jijini Arusha. Amesisitiza […]